Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Pichani katikati amefungua kikao cha uzinduzi wa Mfumo wa Rufaa na usafiri wa dharura kwa wajawazito,waliojifungua na watoto wachanga (M-MAMA)
Kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea na kushirikisha wadau kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma .
Mada kwenye kikao hicho zimewasilishwa na wataalam kutoka hospitali ya Rufaa Mkoa Songea na wawakilishi kutoka Wizara ya Afya na TAMISEMI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.