Kushoto mwenye suti ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua ubora wa viti na meza 80 zilizotengenezwa kwa ajili ya shule ya sekondari mpya ya Mkoa ya Wasichana inayoendelea kujengwa katika eneo la Migelegele Wilaya ya Namtumbo kwa gharama ya shilingi bilioni tatu .
Sekondari hiyo inayotarajia kuanza kuchukua wanafunzi mwaka 2023 ni miongoni mwa sekondari mpya kumi za mikoa za wasichana zinazojengwa na serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.