Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amekagua mradi wa ujenzi barabara ya Matomondo hadi JKT Mlale Halmashauri ya Wilaya ya Songea yenye urefu wa Kilometa 21 inayojengwa kwa kiwango cha lami nyepesi.
Kanal Abbas ameridhishwa na utekelezaji wa mradi huo ambao unatekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 5.9 kutekeleza mradi huo.
Barabara hii inaunganisha kata za Mbingamharule na Magagura ambazo zinawazalishaji wakubwa wa mazao ya chakula na biashara hivyo wananchi hao wataunganishwa na barabara Kuu ya Songea-Mbambabay
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.