Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama amekagua miundombinu ya shule ya sekondari ya Mpitimbi Halmashauri ya Wilaya ya Songea ambapo serikali ya Awamu ya Sita imetoa zaidi ya shilingi milioni 879 kujenga madarasa tisa,mabweni matano na matundu 14 ya vyoo.
Akizungumza baada ya ukaguzi huo,Mkuu wa Mkoa ameagiza dosari zote zilizojitokeza kwenye ukaguzi huo kufanyiwa marekebisho na kwamba hadi kufikia Septemba 30 miradi yote inayotekelezwa katika sekondari hiyo iwe imekamilika kwa asilimia Sehemu ya vyumba tisa vya madarasa katika shule ya sekondari Mpitimbi ambapo hadi sasa vyumba sita kati ya tisa vimekamilika kwa asilimia 100 na vimeanza kutumiwa na wanafunzi wa kidato cha tano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.