Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesherekea Sikukuu ya Eid El Fitir kwa kuwaalika watoto yatima 112 kutoka vituo vitano vya kulelea watoto yatima mijini Songea na kula nao chakula cha mchana katika Ikulu Ndogo mjini Songea.
Watoto yatima walialikwa kupata chakula cha mchana na Mkuu wa Mkoa wanatoka katika vituo vya Mchungaji Mwema,STOF,SWACCO,St Antony na Neema Vistation
Pichani kulia ni Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Riziki Suleiman akipata chakula na watoto yatima katika Ikulu Ndogo ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.