Pichani mwenye kofia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa kidato cha nne katika sekondari ya wasichana ya Masonya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ambao Novemba 13,2023 wanaanza kufanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma anawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa kidato cha nne mkoani Ruvuma na nchi nzima ili waweze kufaulu vizuri na kuendeleza ndoto zao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.