Picha ya juu katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akiongoza kikao cha pili cha Kamati ya sherehe ya maandalizi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kilichofanyika Aprili 30,2024 kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Ruvuma Juni 8 mwaka huu ukitokea mkoani Mtwara.
Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Rehema madenge na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.