• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC RUVUMA aonya,atoa pongezi kwa Halmashauri na watumishi bora

Imewekwa kuanzia tarehe: June 14th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ameongoza kikao kizito cha kujadili hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kutoa pongezi kwa halmashauri na watumishi waliosimamia vyema fedha za umma.

Akizungumza katika kikao hicho, Kanali Ahmed alisema ripoti ya CAG inaonesha Manispaa hiyo  ina hoja 36, lakini ni hoja moja tu ndiyo iliyofungwa, huku 35 zikiwa bado wazi. Alitaka halmashauri zichukue hatua za haraka kuzifunga hoja hizo, ikizingatiwa 14 ni za miaka ya nyuma na 2 ni maagizo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) ambayo hayajatekelezwa.

“Mchanganuo wa Katibu wa Baraza unaonesha kuna hatua zinazoridhisha, lakini hatupaswi kuridhika. Nataka halmashauri ziongeze kasi, zifanyie kazi hoja zilizosalia, na zifunge kabisa madhaifu yaliyobainika. Huu ni wajibu wetu kwa umma, kuonyesha uwazi, uwajibikaji na usimamizi bora wa rasilimali za umma,” alisema Kanali Ahmed.

Mkuu wa Mkoa aliishukuru Ofisi ya CAG, madiwani, watumishi wa umma na wataalamu wa halmashauri kwa ushirikiano wa dhati. Alitambua juhudi zao za kuongeza mapato ya halmashauri, jambo linalochangia uboreshaji wa huduma kwa wananchi wa Ruvuma.

RC Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesisitiza uwajibikaji, uadilifu na umoja katika kusimamia rasilimali za umma. Hatua hizi si tu zinaboresha huduma kwa wananchi, bali pia zinajenga imani ya umma kwa taasisi za serikali. Mkoa wa Ruvuma unaendelea kusonga mbele, ukiweka misingi imara ya maendeleo, uwazi, na utawala bora.

Kwa upande wake, Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Bi. Mary Makondo, alisema mkoa  umeendelea kufanya vizuri katika usimamizi wa fedha za umma, hususan katika mwaka wa fedha 2023/2024. Amewapongeza   watumishi mahiri, akisisitiza kuwa mafanikio haya ni matokeo ya umoja, bidii na uadilifu wa watumishi.


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC RUVUMA ahimiza kuongeza kasi kushughulikia Hoja za CAG

    June 14, 2025
  • SERIKALI yamwaga mamilioni kuboresha barabara vijijini mkoani Ruvuma

    June 14, 2025
  • RC RUVUMA aonya,atoa pongezi kwa Halmashauri na watumishi bora

    June 14, 2025
  • RC RUVUMA aiagiza Manispaa ya Songea kutekeleza Hoja za CAG

    June 14, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.