Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amepiga marufuku safari za mafunzo nje ya Mkoa pia amepiga marufuku uingizaji wa Mifugo mkoani Ruvuma ambapo amesema oparesheni ya kuondoa Mifugo maeneo yote ambayo haistahili kuwepo itaanza katika Mkoa mzima Desemba 9,mwaka huu.
Alikuwa anazungumza na wananchi wa kijiji cha Liparamba Wilaya ya Nyasa katika ziara ya kikazi ya siku moja.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.