Picha ya juu ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizindua zoezi la upandaji miti kwenye chanzo cha Mto Mgugusi hifadhi ya Lugumbilo Kata ya Mbingamhalule Halmashauri ya Wilaya ya Songea.ambapo miti 2000 imepandwa kwenye chanzo hicho.Mkoa wa Ruvuma unatarajia kupanda miche ya miti zaidi ya milioni moja iliyotolewa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)ambayo inapandwa katika kipindi cha wiki moja kuanzia Januari mosi hadi Saba 2023.
Picha ya chini ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Odo Mwisho akipanda mti katika chanzo cha Mbingamhalule Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.