Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Chifu wa Tano wa Kabila la Wangoni Nduna Emanuel Zulu Gama wakizungumza kwenye tamasha la miaka 119 ya kumbukizi la mashujaa wa vita ya Majimaji ndani ya viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji yaliyopo Mahenge mjini Songea.
Kaulimbiu ya maadhimisho ya mashujaa kwa mwaka huu ni Majimaji na ukombozi wa bara la Afrika na matumizi ya rasilimali zake ni urithi wetu kwa maendeleo ya utalii na uchumi
Pichani ni baadhi ya raia wa kigeni wakiwa kwenye tamasha la miaka 119 ya kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji ndani ya viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.