Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Selous FM Radio Ndugu Omari Msigwa (kulia kwa RC), Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu. Stephen Mashauri Ndaki (kushoto kwa RC) na Watangazaji wa Selous Fm Radio pamoja na kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa.
Mara baada ya kushiriki zoezi la upandaji miti ya matunda na kufanya mahojiano kwenye kipindi cha extra Vibe (kipindi cha burudani) mapema hii leo Januari 26, 2023 alipokitembelea kituo hicho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.