MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewahimiza Wazazi Mkoani umo wa waandikishe watoto kujiunga na elimu ya msingi pamoja na kidatao cha kwanza ifikapo Januari mwaka 2023
Hayo ameyasema wakati anafunga kikao cha Baraza la Ushauri la Mkoa (RCC) kilichofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea
Kanali Thomas amesema ni “wajibu wa kila mmoja kuhimiza watoto waende shule kwani sio jukumu la Wakuu wa Wilaya au Wakurugenzi maana pekee yao hawatoweza kufika kila sehemu muhimu tukumbuke wale ni watoto wetu ni lazima waende Shule”amesema Kanali Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.