Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akiwa na mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wameendelea kutoa elimu ya kukabiliana na virusi hatari vya Corona kwa wananchi katika maeneo ya masoko na Stendi ya mabasi na maeneo ya makazi ili kuhakikisha kuwa virusi hivyo haviingii katika Mkoa wa Ruvuma.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=VOJ3pQsvxzk
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.