Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama amelitaja jambo kubwa ambalo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amelifanya kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma ni kutoa ruzuku ya mbolea iliyowezesha bei ya mbolea kushuka kutoka shilingi 150,000 hadi 70,000.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Lituhi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambako alimwakilisha Waziri Mkuu kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Anglikana,Mhagama ameyataja mambo mengine mengi ambayo Rais ameyafanya mkoani Ruvuma na kwa Taifa kwa ujumla.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.