Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge akizungumza baada ya kumkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Judica omari katika kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa .
Makatibu Tawala hao wa mikoa wamefanya makabidhiano hayo kwa niaba ya wakuu wa mikoa ya Ruvuma na Njombe
Mwenge wa Uhuru ulianza mbio zake mkoani Ruvuma Juni 8 na kukamilisha Juni 15 mwaka huu .
Ukiwa mkoani Ruvuma mwenge wa Uhuru umetembelea miradi 72 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 46 iliyopo katika Halmashauri zote nane za Mkoa huo .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.