Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Dr Sharifu Ngonyani akipanda mti katika viwanja vya sekondari ya Nguruma kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea kwenye ziara ya Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo na kuhamasisha upandaji miti ili kutunza mazingira.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.