Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu, Stephine Ndaki akipanda mti aina ya makaratusi mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti milioni 4 ambapo lengo kuu ni kuendelea kuhifadhi na kutunza mazingira zoezi hilo limefanyika katika eneo la gereza la kitahi halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambapo jumla ya miti elfu 4 imepandwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekari 34.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.