MKUU wa MKOA wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge awapongeza wananchi wake kwa kuongoza Kitafa Chanjo ya Uviko 19 .
Akizungumza katika kikao na watendaji wa Mkoa kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea amesema kila mmoja kwa pamoja ametambua umuhimu wa kujikinga na maradhi hatari ya Uviko 19.
“ Napokea takwimu ya hali ya Uviko kila siku ya Jumatatu tunaendelea kwenda vizuri sana kila anayepaswa kuchanja akachanje”.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Jairy Khanga katika taarifa yake amesema Mkoa ulianza kutoa chanjo Agosti 4,2021 na hadi kufikia sasa 228,767 sawa sawa na asilimia 10 imepelekea kuongoza Kitaifa.
Imeandaliwa Aneth Ndonde
Kutoka Ofisi ya Habarai ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Februari 18,2022.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.