Samaki wa mapambo wanaovuliwa katika eneo la Liuli wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wanachochea Maendeleo ya wakazi wa Nyasa.Samaki hao wana soko kubwa katika nchi za Marekani na Ulaya ambako samaki mmoja wa mapambo kwa bei ya chini anauzwa kati ya shilingi 50,000 hadi 100,000.Ziwa Nyasa lina aina zaidi ya 400 za samaki wa Mapambo.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=ynTO3PhxcT4&t=24s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.