Shule mpya ya sekondari ya Luhira Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imekuwa kivutio kutokana na muonekano wake.
Shule hii imejengwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) ambapo jumla ya shilingi milioni 470 zimetumika kutekeleza mradi huo ambao bado haujakamilika kwa asilimia 100.
Menejimenti ya Mkoa ikiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki imekagua mradi huo na kuagiza hatua zichukuliwe kwa uongozi wa Manispaa ya Songea ili kukamilisha majengo ambayo bado hayajakamilika pamoja na dosari zilizojitokeza
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.