SEKONDARI ya wasichana ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliyojengwa katika kata ya Rwinga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma kwa gharama ya shilingi bilioni nne imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano na kidato cha kwanza
Mkuu wa Shule hiyo Mwl.Dafrosa Chilumba amesema ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa sekondari hiyo serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni nne kutekeleza mradi huo.Sekondari hii ikikamilika kwa asilimia 100 itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.