Muonekano wa sekondari ya wasichana ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliyojengwa katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma kwa gharama ya shilingi bilioni 4.6.Hii ni moja ya kati ya sekondari za mikoa 26 zilizojengwa na serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.Sekondari hii ina uwezo wa kuchukua wanafunzi wa kike zaidi ya 1,200 wanaaosoma kidato cha kwanza hadi cha sita
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.