MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameweka jiwe la msingi Ofisi ya shamba la miti na nyumba za watumishi Mpepo Wilaya ya Nyasa zilizogharimu zaidi ya shilingi milioni 968.
Shamba hilo ni miongoni mwa mashamba 24 yanayohudumiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS, chini ya Wizara ya Maliasili na utalii.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.