• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI kuendelea kutoa mbolea ya ruzuku

Imewekwa kuanzia tarehe: September 24th, 2023

MBUNGE wa Peramiho ambaye pia ni Waziri wa chi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Joakim Mhagama, amewaahidi wananchi wa Jimbo la Pramiho kupata mbole ya rukuzu kwa bei nafuu, na itawafikia wote kwenye kata mpaka vijiji vyote vilivyopo jimboni kwake.

Mbunge ameyasema hayo, wakati akifanya ziara yake ya siku nne 18/09/2023 mpaka 21/09/2023 katika kata ya Kilagano, Mpitimbi, Matimila na  Magagura. Mbunge aliwataka wananchi wasiwe na hofu na serikali yao, kwani Serikali ipo makini kuhakikisha kila mwananchi anapata haki zote za msingi ili kurahisisha shughuli yao zinazowaingizia kipato ikiwemo kilimo.

“Hapo mwanzo swala la mbolea kwa wakulima ilikua mtihani sana, kwanza ilikua inauzwa bei kubwa ambapo ni kuanzia 130,000  mpaka  120,000. Lakini kwa sasa inapatikana kwa shilingi elf sabini tu, (70,000). hili swala lazima tumpongoze Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa upendo wake kwa wananchi, na niwaambie tu mikakati wake ni kwamba mwaka huu mbolea zote zinafika katika kila  Kata, na kila kijiji ili kila mkulima aweze kupata mbolea kwa urahisi na kwa bei nafuu.”

Mbunge alitoa onyo kwa mawakala wa Mbolea kwa kuwataka wamalize taratinbu zao zote mapema na pia kutokulifanya hili swala la mbole kama sehem ya kuwanyanyasa wananchi. Hivyo aliwataka waache udanganyifu na kumuunga mkono Mhe. Rais ili kufikisha adhima yake ya kurahisisha maisha kwa wananchi wake.

“ Mawakala wa mbolea simamieni hili swala kwa weredi, epukeni udanganyifu na zoezi hili lianze mapema kwan litawasaidia wananchi kupata mbolea mapema na kufanya kilimo kwa wati.”

"Wananchi sasa Serikali yenu ya awamu ya sita ipo kwa ajili ya kuwahudumia ninyi na kuwapa kile ambacho kinarahisisha maisha ya kila mtanzania ikiweno ninyi watu wa Jimbo la Peramiho. Hivyo nawaomba mkajisajili mapema, ili mbolea zinatakapofika mpate kwa wakati na kazi iendelee"

Mh mbunge pia alipongeza jitihada za serikali kwa kuleta huduma za kijamii na miundombinu yote muhimu katika vijiji vyote kama vile  Maji, Barabara ujenzi ma wadarasa, majaraja na Umeme. Lakini pia aliwasauri wananchi kutumia fulsa zilizopo kujiongezea kipato.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.