• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI kujenga upya barabara ya Songea -Njombe

Imewekwa kuanzia tarehe: September 21st, 2022

SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Tanzania(Tanroads) Mkoa wa Ruvuma,inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya lami kutoka Songea hadi Njombe kutokana na barabara hiyo kuwa nyembemba na kuisha muda wake.

Meneja wa Tanroads Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Ephatar Mlavi alisema, kwa kuanzia barabara hiyo itajengwa urefu wa km 97 kutoka  Msamala Manispaa ya Songea  hadi kijiji cha Lutikila Halmashauri ya wilaya Madaba.

Alisema, kwa sasa maandalizi ya ujenzi wa barabara hiyo yako katika hatua ya manunuzi  na  fedha kwa ajili ujenzi wa mradi huo zimepatikana ambazo ni mkopo kutoka Benki ya Dunia.

Alisema,katika eneo hilo la Msamala kutajengwa Round About na ndiyo  itakuwa makutano ya barabara hiyo na  ile ya Songea ByPass maarufu kama (Mtwara Corridor) yenye urefu wa km 14.3.

Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Songea wamesema,ujenzi wa barabara hiyo utasaidia kupunguza ajali  zinazotokea mara kwa mara  kutokana na  barabara hiyo kwa sasa kuwa nyembamba na yenye mashimo kufuatia kujengwa siku nyingi.

Benjamini Haule alisema,barabara hiyo imekuwa chanzo cha ajli nyingi na kupoteza maisha ya watu ambapo ameiomba serikali kuharakisha kazi ya ujenzi wa barabara  hiyo ambayo  ni muhimu  kwa uchumi wa nchi.

Alisema kama serikali itafanikiwa kujenga upya barabara hiyo,ajali zinazoendelea kutokea mara kwa mara zitapungua kwa kuwa madereva wataendesha magari  kwa usalama.

Alisema,tofauti na sasa ambapo  baadhi ya madereva wanalazimika kupitisha magari yao hadi maeneo ya watembea kwa miguu ili kukwepa mashimo  yaliyopo katikati ya barabara.

Prasida Mbogofela alisema, barabara  ya Songea-Makambako kwa sasa imechoka na ina mashimo mengi, jambo linalosababisha kutokea kwa ajali nyingi hasa kwa watembea kwa miguu kugongwa na magari.

Mmoja wa madereva wa malori anayetumia barabara hiyo Mussa Shaban alisema, changamoto kubwa ya barabara hiyo ni utelezi pindi jua linapowaka na hivyo kusababisha  ajali za mara kwa mara.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.