Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango leo Julai 23 anatarajia kuweka jiwe la msingi katika mradi mkubwa wa maji katika kata ya Liuli Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.
Serikali ya Awamu ya Sita imetoa zaidi ya shilingi bilioni 4.7 kutekeleza mradi ambao unakwenda kumaliza kero ya maji katika kata ya Liuli
Makamu wa Rais Dkt Mpango yupo mkoani Ruvuma katika ziara ya kikazi ya siku tano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.