Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametembelea na kukagua kituo cha Uhamiaji cha Mkenda Songea kilichopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji,pamoja na mambo mengine katika kipindi hiki cha vita ya corona, amewatahadhari watumishi wa umma walipo mpakani kutojiuhusisha na rushwa ya kuwaruhusu wageni kuingia nchini bila kuwekwa karantini kwa siku 14.
TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=ncGKmYse9I8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.