Sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma inayoitwa Dkt.Samia Suluhu Hassan imejengwa katika eneo la Migelegele Kata ya Rwinga wilayani Namtumbo ikiwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 wanaosoma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita ambapo serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 4.4.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.