SERIKALI ya Awamu ya Sita imetoa magari mawili ya kubebea wagonjwa katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma.
Katibu Tawala Wilaya ya Songea Mtela Mwampamba amekabidhi magari hayo kwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mheshimiwa Teofanes Mlelwa.
Mwampamba amewaagiza madereva watakaoendesha magari haya kuyatunza ili yaweze kutumika kwa muda mrefu.
Naye Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mheshimiwa Mlelwa amemshukuru Rais Samia kwa kuleta magari hayo ambayo yatawasaidia wananchi kupata urahisi wa matibabu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.