Serikali imetoa Zaidi ya shilingi milioni 200 kutekeleza mradi wa Soko la mazao la Kimkakati lililopo kijjiji cha Matomondo kata ya Mbingamhalule Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Soko hili lina jumla ya majengo manne ambayo ni choo, ghala na shedi mbili na kwamba ujenzi unatarajia kukamilika Mei mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.