• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatoa pikipiki kwa maafisa watendaji Kata Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: March 1st, 2023

Maafisa watendaji wa kata sita  za Halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamekabidhiwa pikipiki sita zilizotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwaajili ya watendaji kata nchini lengo likiwa ni kuboresha mazingira ya utendaji kazi  katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Katika mgao wa awamu ya kwanza Pikipiki hizo zimetolewa katika kata sita kati ya kata 16 za Halmashauri ya Wilaya ya Songea.Mgao huo umefanyika Kwa kuzingatia Kata zilizopo pembezoni ambazo ni Mhukuru, Ndongosi, Kilagano, Matimira, Lilahi na Kizuka.

Zoezi la Kukabidhi pikipiki kwa Maafisa watendaji wa kata limefanyika katika viunga vya Halmashauri na kuudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Menas Komba, Waheshimiwa Madiwani wa kamati ya fedha, Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Neema Maghembe, Wakuu wa Idara na Vitengo, Watendaji wa Kata pamoja na timu ya Wataalamu.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndg. Neema Maghembe wameongoza  zoezi hilo la Kukabidhi pikipiki kwa maafisa watendaji kata.

Viongozi hao wamemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kugawa pikipiki hizo kwa Maafisa watendaji wa kata ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi katika utoaji wa huduma kwa wananchi. Pia Viongozi hao wamewaelekeza Maafisa hao Kutumia Pikipiki hizo kwa ajili ya kazi iliyokusudiwa na serikali ya kuwahudumia wananchi huku wakiwasisitiza kuzitunza na kuzithamini kwa kutambua kuwa ni mali ya Umma.

Aidha Maafisa watendaji kata hao wamemshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mgao huo wa pikipiki na kuahidi kutumia pikipiki hizo kwa matumizi mazuri ya kiofisi ili kutoa huduma bora kwa wananchi ili kuleta maendele

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.