Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa upendeleo wa pekee katika mbolea ya ruzuku ambapo hadi sasa zimesambazwa zaidi ya tani 68,000 za mbolea za ruzuku kwa wakulima.
Afisa Kilimo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Onesmo Ngao amesema katika msimu huu wa kilimo lengo lilikuwa ni kusambaza mbolea ya ruzuku tani 67,000 ambapo hadi sasa Mkoa umevuka lengo kwa kusambaza mbolea ya ruzuku tani 68,000 ambayo ni zaidi ya asilimia 100 .
Kwa miaka minne mfululizo Mkoa wa Ruvuma umekuwa unaongoza kitaifa katika uzalishaji wa chakula nchini
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.