• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatoa zaidi ya bilioni moja kujenga vyumba vya madarasa Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: November 2nd, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololeti Mgema amesema Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni moja na milioni miatatu na tisini kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 65 vya madarasa kwa ajili ya wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza 2022.

Mgema ameyasema hayo katika kikao cha Baraza la kazi kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

Mgema amewataka watendaji wote wanahusika katika utekelezaji wa ujenzi wa madarasa hayo kujiepushe na ubadhirifu wa aina yoyote kwani atakaye bainika hata mfumbia macho,na wahakikishe wanashiri ki kusimamia mradi kikamilifu ili thamani ya fedha itoe mradi wenye tija.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi.Neema Maghembe ametoa ufafanuzi wa matumizi ya fedha hizo kuwa shilingi milioni 920 zitatumika kujenga vyumba vya madarasa 46 kwa shule za sekondari 16,na shilingi milioni 380 zitatumika kujenga madarasa katika vituo shikizi vya shule za msingi.

Maghembe amevitaja vituo shikizi vitano ambavyo vimenufaika na mgao huo kuwa ni Ligunga,Lunyeri,Jenister,vingine ni Mhimbasi na Lihuhu ambavyo vyote vimepata mgao wa shilingi milioni 20 ambazo tayari zimeingizwa kwenye akaunti za shule hizo kadiri ya miongozo ya Serikali.

Amezitaja shule za Sekondari ambazo zimenufaika na mgao huo kuwa ni Namihoro,Maposeni,Ndongosi,Namatuhi,Barabarani,Mpitimbi Lupunga,Mhalule na shule nyingine kuwa ni Matimira,Darajambili,Magagura,Nalima,Litapwasi,Muhukuru,Liganga na Kilagano fedha hizo tayari zimeingizwa katika akaunti za shule hizo.

Ameishukuru Serika kwa kutoa kiasi hicho cha fedha ambacho kinakwenda kumaliza tatizo la vyumba vya madarasa kwa wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza mwaka 2022 katika maeneo hayo yaliyoainishwa.

Halmashauri ya Wilaya ya Songea inajumla  ya shule za Sekondari 16 nashule za msingi 73 zinazomilikiwa na Serikali.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.