SERIKALI kutipia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa mafunzo ya utengenezaji wa Logo na uandaaji vipeperushi kwa Maafisa Tehama na Maafisa Habari wa Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo na uelewa Maafisa hao katika matumizi ya programu za uandaaji na kubuni matangazo lengo kuwawezesha kutoa taarifa sahihi ambazo serikali imekusudia ziwafikie Wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.