Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwafundisha kwa vitendo somo la hisabati wakati alipotembelea na kukagua wanafunzi wa walioripoti katika shule mpya ya msingi Lipupuma iliyopo Halmashauri ya Madaba ambapo serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 331 kujenga shule ya mkondo mmoja
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.