Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hufanyika kila baada ya miaka mitano , uchaguzi wa mwisho wa Serikali za Mitaa ulifanyika mwezi Novemba mwaka, 2019.
Uchaguzi mwingine wa serikali za mitaa unatarajia kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024. ambapo Mkoa wa Ruvuma una jumla ya Kata 173, Vijiji 551 Mitaa 123, Vitongoji 3,691 na mamlaka za miji midogo miwili ambayo ni .mamlaka ya Mji mdogo wa Namtumbo na Lusewa,ambavyo vitashiriki katika uchaguzi wa kuwapata viongozi katika ngazi ya mitaa,vijiji na vitongoji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.