TAASISI zote za Umma zikiwemo Halmashauri na mikoa zitaanza kutumia mfumo mpya wa ununuzi wa umma (NeST) ili kudhibiti matumizi ya ya fedha za serikali.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Ufuatiliaji wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA)Mhandisi Awadh Sulua wakati anazungumza kwenye ufungaji mafunzo ya Mfumo mpya wa ununuzi wa umma (NeST) yaliyofanyika kwa siku sita kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma,
Mafunzo hayo yaliratibiwa na PPRA kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo yaliwashirikisha wataalam 180 wa sekretarieti za mikoa 26 ya Tanzania bara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.