Tamasha la Kitaifa la Utamduni la tatu linatarajia kufanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma kuanzia Julai 20 hadi 27 mwaka huu. Tamasha la kwanza la kitaifa la utamaduni lilifanyika mkoani Dar es salaam mwaka 2022 na Tamasha la pili lilifanyika mkoani Njombe mwaka 2023.
Tamasha la kitaifa la utamaduni lilianzishwa mwaka 2022 ikiwa ni kutekeleza kwa vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan
Rais Samia aliagiza matamasha ya utamaduni kufanyika kwa mzunguko kila Mkoa ili watanzania wajue mila na desturi za kila mkoa. Malengo makuu ya tamasha la kitaifa la utamaduni ni kurithisha amali za utamaduni kwa vitendo na kuchochea maendeleo ya utalii wa kiutamaduni,
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.