IDARA ya Maendeleo ya Jamii kutoka TAMISEMI imefanya ziara ya kukagua vikundi vya vijana ,wanawake na wenye ulemavu katika Halmashauri za Manispaa ya Songea na Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma kwa lengo la kuona namna mikopo waliowezeshwa na serikali bila riba walivyoitumia na kuirejesha ili vikundi vingine viendelee kukopeshwa mikopo inayotolewa na Halmashauri nchini.
TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=6DU3h3f9Fdc
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.