TANI 70.2 za viuatilifu feki vya korosho aina ya salfa vimekatwa na serikali Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kufuatia oparesheni Maalum iliyofanywa na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tunduru.
Kufuatia hali hiyo Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wamekagua sehemu ambayo imehifadhiwa salfa feki mjini Tunduru na kutoa maelekezo na maagizo kadhaa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.