Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akimpa pole Afisa Tawala wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bi.Grace Mafuru nyumbani kwake Bombambili mjini Songea ambaye amepata msiba wa kufiwa na mumewe usiku wa kuamkia Mei 29,2024 katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea.
Maziko yanatarajia kufanyika siku ya Ijumaa nyumbani kwa marehemu Bombambili
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu majhala pema peponi
AMENI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.