TARURA katika Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma imetekeleza mradi wa ujenzi wa daraja lililojengwa kwa teknolojia nyepesi ya kutumia mawe kwa gharama nafuu ya shilingi milioni 152 badala ya shilingi milioni 500 linalounganisha vijiji vya Lipupuma na Chechengu Halmashauri ya Madaba.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametembelea na kukagua mradi huo ambapo amewapongeza TARURA na Mkandarasi wa mradi huo kwa kutekeleza mradi kwa ufanisi na gharama nafuu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.