WATALAAM wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wakiwa na mwekezaji aliyeomba kuwekeza kwenye kisiwa cha Lundo Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma wametembelea kisiwa cha Lundo kilichopo ndani ya ziwa Nyasa kilometa nne kutoka mjini Mbambabay ambapo wameridhishwa na vivutio vilivyopo ndani ya kisiwa hicho hivyo TAWA wameridhia kuweka wanyamapori wanaokula nyasi,pia mwekezaji ameridhika kuwa kisiwa hicho kinafaa kwa uwekezaji wa hoteli ya kitalii.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=553F105WDCw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.