WATUMISHI wa Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma wamepewa mafunzo ya kodi ya zuio katika mfumo ulioboreshwa..
Mafunzo hayo yametolewa na Mhasibu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Ruvuma Amimo Ndaro kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Madaba ambapo amesema mafunzo hayo yamelenga makusanyo yanayofanywa na watumishi waliopo katika Halmashauri .
hata hivyo Ndaro amesema kupitia mafunzo hayo kumekuwa na mwitikio kwa kupata mahali pakuanzia na baada ya mafunzo haya kodi iliyo nyingi itawasilishwa kwa kamishna wa kodi za ndani.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.