Picha ya pamoja watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kitengo cha Malalamiko na Kero wakiwa na wazazi,viongozi wa kijiji cha Mkowela na watoto wawili wa kike waliorejeshwa kutoka nchini Msumbiji ambao walitoroshwa Februari 10 mwaka huu kwa lengo la kwenda kutumikishwa katika kazi ya kuuza bar,ambapo serikali ya Mkoa wa Ruvuma kwa kutumia vyombo vyake ilifanikiwa kuwarejesha watoto hao nyyumbani kwako kijiji cha Mkowela wilayani Tunduru wakiwa salama.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.