• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TUNDURU yawapiga jeki vijana,wanawake na wenye ulemavu sh. milioni 240

Imewekwa kuanzia tarehe: April 8th, 2021

HALMASHAURI ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imetoa mkopo wa shilingi milioni 240 ambayo ni asilimia  10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha vijana,wanawake na wenye ulemavu .

Mkurugenzi Mtendaji wa  Halmashauri hiyo Gasper   Balyomi  amekutana na kufanya mazungumzo na Wanufaika wa mkopo wa Halmashauri hiyo  ambapo wanufaika hao ni Wanawake asilimia  nne, Vijana asilimia  nne na Walemavu asilimia mbili.

Amesema Halmashauri ya Wilaya ya Tunduuru imetenga kiasi cha shilingi 240  kwajili ya kuwakopesha  Wanawake, Vijana na Wenye ulemavu ambayo ni  asilimia kumi  inayo takiwa kutolewa kwa  vikundi hivyo  kwa kipindi cha  mwaka wa fedha .

Hata hivyo Mkurugenzi  huyo amevipongeza vikundi vya Wanawake kwa kuonesha  mwenendo mzuri wa kurejesha mkopo huo  ambapo ametoa rai wananchi wajiunge katika vikundi  ili wanufaike na mkopo huo wa Halmashauri na kusisitiza vikundi ambavyo wamekopa mkopo na hawajaresha mikopo yao  warejeshe  mikopo kwa wakati ili kutoa  fursa kwa vikundi vingine kukopa.

 “kwa vikundi ambavyo vinakopa na kurejesha mikopo yao kwa wakati vitapewa kipaumbele na kuongezewa kiwango cha mkopo”,alisema na kuongeza kuwa  hadi  sasa kuna vikundi vinarejesha vizuri marejesho.

Imeandikwa na  Afisa Habari Halmashauri ya Tundurui


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.