UCHAGUZI mdogo kata ya Utiri Halmashauri ya Mji Mbinga mkoani Ruvuma pamoja na kata nyingine 22 Tanzania bara unatarajia kufanyika Machi 20,2024.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani anakaribisha maombi kutoka Asasi za Kiraia na Taasisi nyingine zenye nia ya kutazama uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata hizo..
Tume imesema kupitia taarifa yake kwa umma kuwa waombaji wa nafasi ya kutazama uchaguzi walipaswa kuwasilisha maombi kupitia https://oms.nec.go.tz .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.