SERIKALI imeboresha miundombinu ya barabara kwa kujenga barabara ya lami kutoka Wilaya ya Mbinga hadi Mbambabay Wilaya ya Nyasa pia serikali imenunua meli tatu zinazofanya kazi katika ziwa Nyasa.
Meli hizi zinachochea uchumi katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma,Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya na Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.