• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

Ufuatiliaji wa Mapato ya Ndani kwenye Halmashauri za Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: January 17th, 2019

Sekretariati ya Mkoa wa Ruvuma Kufanya Ufuatiaji Shirikishi wa Ukusanyaji Mapato ya Ndani kwenye Halmashauri

Katibu Tawala wa Ruvuma Prof.Riziki Shemdoe ameagiza kufanyika ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato ya ndani kwenye mamlaka zote za serikali ya mitaa .

Ametoa agizo hilo hivi karibuni  kufuatia ripoti za Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuonyesha mkoa wa Ruvuma umefanya vibaya katika ukusanyaji mapato ya ndani robo ya kwanza mwaka 2018/2019 .

“Kila mkuu wa idara na kitengo katika sekretariati ya mkoa huu anatakiwa atoke na kwenda kwenye halmashauri kufanya ufuatiliaji wa mapato katika vyanzo vilivyoanishwa katika idara yake na kutoa ushauri wa kuongeza kasi ya ukusanyaji”amesema  Prof.Shemdoe.

Katibu Tawala Mkoa ameagiza kuwa timu ya ufuatiliaji ihoji namna halmashauri zinavyokusanya katika vyanzo vyote 53 vilivyoanishwa kwenye Sheria kisha watoe ushauri wa namna bora ya kufanikisha lengo .

Kwa mujibu wa taarifa ya robo mwaka Julai hadi Septemba 2018 iliyotolewa na Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Selemani Jaffo ilionyesha kuwa  mkoa wa Ruvuma ulikuwa kati ya mikoa iliyofanya vibaya kwa ukusanyaji mapato ya ndani ya Halmashauri.

Katika kutekeleza agizo ufuatiliaji wa ukusanyaji mapato ya ndani umeanza kwenye halmashauri za  wilaya ya Mbinga,Mji Mbinga ,Madaba DC,Namtumbo DC,Songea DC na Nyasa DC  kuona sababu zilizosababisha kufanya vibaya.

Akizungumza kwa niaba ya timu ya ufuatiliaji ya mkoa Mwanasheria toka Sekretariati ya mkoa Seligius Ngahi amesema ufuatiliaji huu utasaidia kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wa mkoa na Halmashauri kujua kwa kina mapungufu yaliyopo kwenye zoezi la ukusanyaji mapato ya ndani na kuchukua hatua za kudhibiti.

Aidha,Mkurugenzi wa Mji Mbinga Grace Quintine ameshukuru uamuzi wa  Mkoa kuunda timu ya ufuatiliaji ili isaidie wataalam wa Halmashauri kuongeza kasi ya ukusanyaji pia kudhibiti matumizi ya fedha za umma.

“Nashukuru nimepata uelewa kuhusu suala la mapato kwenye sekta ya ardhi kwenye halmashauri yangu kuwa tunazo fursa za kuongeza mapato kwa kuuza viwanja na vibali vya ujenzi” alisema Quintine.

Timu ya ufuatiliaji mwenendo wa ukusanyaji mapato ya ndani kwenye halmashauri itakapokamilisha kazi ya kutembelea na kukagua halmashauri zote nane za mkoa itatoa taarifa kamili ya kilichobainika kufanya Ruvuma isifanye vizuri  kwa Katibu Tawala Mkoa .

Mwisho

Songea

15 Januari,2019

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBINGA-MBAMBABAY : barabara inayojenga utalii kwenye milima ya Kusini

    June 01, 2025
  • PICHA ya Rais Samia yapamba mti wa kihistoria Namtumbo

    June 01, 2025
  • TAIFA lamlilia Songambele Shujaa wa Uhuru aliyeishi karne moja

    June 01, 2025
  • SHAMBA la AVIV Tanzania ni mfano wa kuigwa nchini

    June 01, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.